Marioo - Ya Uchungu
Wakisema tutaachana Ongeza nipenda zaidi ya jana Wakitamani tuhuzunike Tufanye sherehe Baby nipe tena kama jana Wanatamani yanibubujike Ukinitenda kiutani utani Utaniua eeh Mi juu yako nishatamba sanaNitaambia nini watu? We ndo faraja maishani Usiniue eeh Milele kufa kuzikana Nishachora na tattoo Hata ukiniacha Usifanye ukatoka na kina niniii Hii hii hii Nitaificha wapi sura Utanitia doa Hata ukiniacha Vya ndani ibaki siri We nami, Eeeh eeh eeeh Nitaiweka wapi sura
Nitaiona dunia Ya uchungu Ya uchungu Ya uchungu Ya uchungu Achana na mapaka shume Wataponza uchomoe Wasije wakakufunza Unikomoe Wala hawatakuwa na maana Lengo penzi walibomoe Lazizi wee, basi fanya Usiniboe Maana moyo wangu utaumia Utaumia aah Alafu nafsi yangu itajutia Itajutia Hata ukiniacha Usifanye ukatoka na kina niniii Hii hii hii
Nitaificha wapi sura Utanitia doa Hata ukiniacha Vya ndani ibaki siri We nami, Eeeh eeh eeeh Nitaiweka wapi sura? Nitaiona dunia Ya uchungu Ukiondoka ukiniacha mwenzako nitaumia Ya uchungu Itanielemea, itaniua sana Ya uchungu
Maradhi ya mapenzi nayo yanaumiza sana Ya uchungu Mwenzako aah, eeh eeh Mwenzako napenda Napenda vibaya Ukiniacha nitaumia Ukiondoka nitaumia
MUSIC VIDEO
Popular Lyrics