Aslay x Alikiba - Bembea
Nah nah nah nah nah nah nah... Wapi unawaumizaga Niambie tuwakomeshe Tuwakomeshe vishadai Wavimbe wateseke We nipende tu Nipe na nyota nitembelee Wachawi viga kura Beiby tushikane tuwakemee We ni doctor mi mgonjwa Ndo maana nikikuona Mwenzako ninapona Umenijaa akilini Ndo maana nakutajaMwenzako kila ngoma Beiby, tuifiche hiyo siri Tusionyeshe dhahiri Huwanga wanasubiri Waone utavyonimwaga Wa mbili awe mbili Wa kwanza tuwe wa kweli Ah nataka ta takataa Natakata na penzi lako Na nitadata nitadata
Ukininyima hicho ulichokuwa nacho Naridhika ridhika Naridhika na huba lako Nakuahidi nitakufa Nikija kulikosa hilo penzi lako Bembea, mahabuba bembea oooh Bembea, nakuruhusu ning'inia Kwenye moyo wangu Bembea, lazizi bembea oooh Bembea, mwenzako nasikia raha sana Nasi tunazima data Simu zao tunakata
Tudanane kama mapacha Wawili wawili, wawili twende mbele Ulivyo mtamu ratili Sukari usiongezee Ujuzi unao, uzuri unao nashiba Mahaba ilegezee eeh Ah ukinigusa nasisimua
Jaa jaa bigwa wako sasambua Umeniweza mtoto wa kishua Shida zangu zote unatatua Ndo maana nakupenda Palipo ufa tujenge Usisikize wapambe wee We nipende nikupende Na ndio maana nakupenda Tuifiche hiyo siri Tusionyeshe dhahiri Huwanga wanasubiri Waone utavyonimwaga Wa mbili awe mbili Wa kwanza tuwe wa kweli Wambeya wanasubiri wapate
Cha kusemaga Bembea, bembea unawamaliza Bembea, wakose cha kusemaga Hakuna kutafuna Bembea, bembea unawamaliza Bembea, wakose cha kusemaga Hakuna kutafuna
MUSIC VIDEO
Popular Lyrics