Alikiba - Mshumaa
Ule ugonjwa uliacha naoBado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina
Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote
Wamepima majibu hakuna
Hata ngoma sina
(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo
Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai
Alioo iyooo...
Nakumiss...
Tena! Tutonana Tena! Hata Mungu akipanga leo Tena! Nikufe kesho Tena! Tutaonana tena Tena! Ifike kesho uliamba Tena! Waniweke kwa mchanga Tena! Nikufe kesho Tena! Ali oooh Labda nikukumbushe Nilipokuvisha pete Ulisema machache Hauniachi mpaka nife
Maana ngoma sina(Sina ooh) Pressure sina(Sina eeh) Ugonjwa sina(Sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Mi naona giza Giza totoro aai Alioo iyooo...
Nakumiss...iye iye Tena! Tutonana Tena! Hata Mungu akipanga leo Tena! Nikufe kesho Tena! Tutaonana tena Tena! Ifike kesho uliamba Tena! Waniweke kwa mchanga Tena! Nikufe kesho Tena! Ali oooh
MUSIC VIDEO
Popular Lyrics