Rico Gang ft. Kartelo - Kimonyoski
Mi unaeza niita Kartelo Ama unaeza niita kwako Hitilafu Sacco in addi area representing Hatujakuja kupakwa maronyaru Eeh tumekuja asapa na Rico Gang Tumekuja kuchachisha Tumekuja kuwapeleka na rieng, Kabisa! Hitilafu sacco in addi area representing Tumechill kwenye baze tunaseti Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya Ati hapa tunadance na tunazitoka Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Watu wa Kariobangi ndio wame carry hio bangi Nipeleke na rieng manjege wasini landi Hakuna nare, washa shash na radi Venye me hudinya, traco alidhani hii ni pongi yaa Kazee, aah kazee Brayo mpenda manyonyo amechill tu kwa baze Ah, Konyagi dry ju ka si doh hatu chase Ghetto ni ya wasupa yoh, so tingisha na hiyo pace Ukicheki na akina Linda(Oya oya) Doba za Demakufu(Oya oya) Sacco ni Hitilafu(Oya oya) So stretch izo mapaja tu ka (Oya oya) Hitilafu sacco in addi area representing Tumechill kwenye baze tunaseti Si ati nini ama nini ni kumedi Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Oya oya oya Ati hapa tunadance na tunazitoka Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka Ni kuwika tu Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Mbogi ni ya Kimonyoski So original hao wengine wanacopy Kama huna ngori piga picha na uposti Na kama huna form si ukam tukuhosti Aah, hii ni mbogi ya mutaratara Mbogi ina form hapa hakuna mandrama Tumechill kwenye baze na akina Sara Kina Liz, kina Brenda na akina Laura Oya Kartelo, ameishika Lejo Sijaitisha already ashatoa leso Sijamvuraga na ashaanza kunego Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Hitilafu sacco in addi area representing Tumechill kwenye baze tunaseti Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Oya oya oya Ati hapa tunadance na tunazitoka Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Mbogi ya kula mutura na kunywa supu Mamanzi wa fine, wale ni wenye wasupu Mbogi ya kukula tu mogombero na njugu Hapa ni malugha na kutoa tu makutu Niko look sijaparara Cheza na mutaratara Juzi alikula Sara Akamrusha tu kwa Laura Si akavurugwa tu na mbogi pale raonda Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Hitilafu sacco in addi area representing Tumechill kwenye baze tunaseti Si ati nini ama nini ni kumedi Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Oya oya oya Ati hapa tunadance na tunazitoka Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Hitilafu sacco in addi area representing Tumechill kwenye baze tunaseti Si ati nini ama nini ni kumedi
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski Oya oya oya Ati hapa tunadance na tunazitoka Toka usiku hadi chee hakuna kuchoka Ni kuwika tu
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
Aaah... mbogi ni ya kimonyoski
MUSIC VIDEO
Popular Lyrics